1 Peter 5:12

12 aKwa msaada wa Silvano,
Yaani Sila.
ambaye ninamhesabu kuwa ndugu mwaminifu, nimewaandikia waraka huu mfupi ili kuwatia moyo, na kushuhudia kwamba hii ni neema halisi ya Mungu. Simameni imara katika neema hiyo.

Copyright information for SwhKC